Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kuna wanawake wengi waliokuwa majimboni waliopigania uhuru wa Tanganyika.
Bahati mbaya wengi wao hawafahamiki kabisa.
Baadhi yao nimeweka picha zao hapo chini.
1. Bi. Halima Khamis na Julius Nyerere
2. Bi. Mwamtoro bint Chuma (Dar es Salaam)
3. Mwami Theresa Ntare (Buha)
4. Kulia: Bi. Chiku bint Said Kisusa, Bi, Titi Mohamed na kushoto mwanzo ni Bi. Tatu bint Mzee na Julius Nyerere (Dar es Salaam)
5. Bi. Titi Mohamed na mwanae Halima (Dar es Salaam)
6. Lucy Lameck (Moshi)
7. Shariffa bint Mzee (Lindi)
8. Zarula bint Abdulrahman (Tabora)
9. Bi. Nyange bint Chande (Tabora)
10. Bi. Amina Kinabo (Moshi)
11. Bi. Halima Selengia (Moshi)
12. Kushoto Bi. Mwamvua Mrisho (Mama Daisy), Bi. Titi Mohamed, Bi. Zainab Tewa (Dar es Salaam)
13. Waliokaa kushoto Mwinjuma Mwinyikambi, wa tatu Bi. Titi Mohamed na mwanae Halima mstari wa nyuma ni akina mama wa Tawi la Ali Msham (Dar es Salaam)
14. Mwalim Sakina bint Arab (Dar es Salaam)