Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,285
Hii inafikirisha sanaWakuu Ts nonsense
Kwa mtizamo wangu, hii kitu inyoendelea kwenye social media platforms inaweza kuwaletea shida mbeleni wana-CCM!
Political strategist waione mapema hii.
Wameanza kuwa"brand" wanawake wa nchi hii dhidi ya nani?
Je, vijana wa Nchii hii nao wakija na slogan yao sijui itakuwaje? Tutaleta mpasuko mkubwa ndani ya Taifa! Mbona wanawake mshafanya/mnafanya makubwa. Mangapi mmefanya mpaka hayahesabiki.
Hivi tunamtisha nani kwamba wanawake ni Jeshi kubwa? Je, ni Jeshi kubwa DHIDI ya nani? DHIDI ya wanaume, vijana ama Wazee?
Hii itakujaa kuback fire na kuleta shida mbeleni, mwenye jicho la tatu na waone haya!
Sisi tutaendelea kushauri kwa maslahi mapana ya Taifa kama tutapuuzwa sawa Lkn tumetimiza wajibu wetu wa kushauri kwa nchi yetu!
Hii kampeni inaweza kabisa kuwabomoa kuelekea Mwaka 2025.
Hataki wawe wanajeshi.Kwani wakijiita jeshi wewe inakukwaza nini mkuu?
Wewe unaona sawa sababu unaishi kwa mama yako!Kwani wakijiita jeshi wewe inakukwaza nini mkuu?
Lets say its true naishi kwa &/ na mama, lets say na wewe unaishi kwa &/ na baba, sasa wewe kipi kinakuwasha? Si uko na baba yako?Wewe unaona sawa sababu unaishi kwa mama yako!
Si ndio?
Wanawake ni wako na changamoto nyingi sana kulinganisha na wewe mwanaume, walinyimwa fursa ya kupata elimu, wananyimwa urithi kwenye familia zao, walizuiliwa kupiga kura, kipindi cha bwana wetu Yesu walikuwa hata hawahesabiwi!Wakuu Ts nonsense