Wanawake wamepungua sana humu. Kulikoni?

Wanawake wamepungua sana humu. Kulikoni?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Kuna hali nimeanza kuiona kwa miezi sasa humu ndani. Watoto wazuri wamepungua au mimi ndiye sikutani nao?

Hawaonekani kabisa! Sitaki kuamini wazee mnawakeep saana busy PM hadi humu hawatokei tuchit-chat. Kina nanii wote hawapo.

Please jitokezeni tunamiss uwepo wenu, raha ya mwanamke kuchekacheka na mwanaume bhana.
 
Muulize Daby anaufahamu huu uzi?ajaribu kuupitia atawaona huko

Muulize Daby anaufahamu huu uzi?ajaribu kuupitia atawaona huko

Kuulwa
 
Back
Top Bottom