Tambua uwepo wake sasa.Mbona sina taarifa zake jamani
Kwa kulazimisha SawaTambua uwepo wake sasa.
Hi Daby!, wadada na sisi tuko busy kutafuta maisha,maana tukiomba hela wakaka wanaita vizinga eti[emoji3] ,tumeona tujitahidi kujitafutia tu, ila tupoooo
Asante kwa kuelewa, i love u.Sawa dear
Busy na.......Busy
Me tooAsante kwa kuelewa, i love u.
Busy na....... View attachment 1274262
manengelo Dada angu mpendwa kwenye nyuzi za ajabu usiwe unamuita
Ulipotelea wap na weweKuchekacheka tumestaafu mkuu
Ulipotelea wap na wewe
Asa ww wajua kwann sipendi kuwa chitc chat wengine wanahis mayb dharau😅😅..bora ww unajua!!nakupigia sikupati😇!Okay.Hapo nimekupata..
Ofcz nimeona list ya warembo hapo mkuu Depal kaiweka nikaikosa id yako ikabidi niandamane.Asa ww wajua kwann sipendi kuwa chitc chat wengine wanahis mayb dharau😅😅..bora ww unajua!!nakupigia sikupati😇!