Jamanii mkaka mzuri mzuriIli ujue umuhimu wangu uachane na wale.
Furaha yangu sasa umeshaachana nao...sina budi kukupokea. Nakuona uzuri haukuishi tu.
Muulize Daby anaufahamu huu uzi?ajaribu kuupitia atawaona huko
Selfika na JF: Snap it. Show it
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na...www.jamiiforums.com
Duuh...huu uzi mrefu saana mshana nitaumaliza kweli! Wewe niambie ambao sio wako nami....Ingia hapo uwaone live kabisaSelfika na JF: Snap it. Show it
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na...www.jamiiforums.com
Duuh ndio ule usemi unakurenga weweNipo mkuu....umri tu unatutupa mikono...
Sawa mkaka mzuri mzuriKhaaa...fanya ze needful ebu.
Ndivyo tuitwavyo na wakaka wenzio wa jfKumbe wewe kidume?.....
Hahahaha sawa mzee mwenzanguTehetehte....ukiyazoea mambo unayaona kawaida....
HahahahaNdivyo tuitwavyo na wakaka wenzio wa jf
Bila shaka ulishauliza
Nakuona msomali
Haujanialika ndiyo maana siujui....