Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Duuh...huu uzi mrefu saana mshana nitaumaliza kweli! Wewe niambie ambao sio wako nami....
Kwa hiyo unanishauri niache kuhangaika mkuu?Kwanza Jf hakuna watoto wazuri, wengi nilio meet nao, hakuna kitu.
Naskia una watoto wazuri hatari....hawajui hata kiswahili ni kifaransa na kispaniola tu.HauTUfai ule uzi ndo mana sijakualika baba naniliu
Nawashauri hawa warembo wasitutenge namna hii maana wengine hatuna access ya kuwajulia hali kupitia PM
Tema mate chini, huku kuna Hot and Brainy mkuu nimeonana nao.Kwanza Jf hakuna watoto wazuri, wengi nilio meet nao, hakuna kitu.
Karibu tena mdogo wangu. 😎😎