WANAWAKE wameumbwa kwaajili ya wanaume!!!!

WANAWAKE wameumbwa kwaajili ya wanaume!!!!

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1,956
Reaction score
2,274
Yaan utakuta mwanaume kaangaika sana, kimaisha, wengine mpaka wanapata majeraha makubwa, au wananusurika na vifo wakiahangaikia maisha. mungu si athumani anawajalia hawa waangaikaji vijipesa, vijigari, na hata vinyumba vingi so hawa watu wanakuwa tunasema matajiri.

sasa itatokea siku moja tu huyu mwanaume anasema nataka kuoa then anatafuta mwanamke anamuweka ndani, eti mali zinakuwa za wote wawili..kisa mke wake....

teh teh teh teh nimekaa nimefikiria sana naanza kukubaliana na usemi wanawake wameumbwa kuwaburudisha mwanaume. yaani utake usitake
 
au mfano mwengine mdogo...utakuta darasani mwanaume anaakili sana..lakini baadae maisha yake yanakuwa yakawaida sana., yule mwanamke aliyekuwa wa mwisho darasani ambaye kabarikiwa kwa urembo anakuja kuishi maisha mazuri kuliko kidume kilichokuwa na akili sana darasan.

kweli wanawake!!! usishindane nao.
 
kama uliingia moyoni mwangu...! nimejikuta nawachukia ghafla (bwana yesu nisamehe kwa hiili)
 
na huku chuoni kwetu mkipata sapplimentary na mademu wawanaume wote lazima wacarry wakat mashost wanapeta yaani ful kusapua!!!!!!!
 
halafu bado kuna movements kibao za Gender Equality!!!
 
na huku chuoni kwetu mkipata sapplimentary na mademu wawanaume wote lazima wacarry wakat mashost wanapeta yaani ful kusapua!!!!!!!

i dont know why am hating girls much much and so much
 
halafu bado kuna movements kibao za Gender Equality!!!

mi nakwambia hakuna kitu kama hicho....duniani itaishia kuwa maneno tuuu..hakuna usawa kabisa!
 
Pole. Bado unaweza ukatafuta yule ambaye ana kazi yake....ambaye hatakula vya kwako....:lol:

wizi mtupu, nipo hapa nafanya kazi certel yaani nikiwa nawasikia wanawake wa hapa wanavyowasema waume zao,,,mpaka sitamani kumwona mwanamke yeyote mbele yangu...wengine wanawaita waume zao 'wazushi' wanawake kweli mi siwawezi...kwanza wengi mmekaa kipesa pesa tuuu
 
sasa wewe unahitaji counsilling!!
ni nani aliye kutenda?
 
Back
Top Bottom