kama uliingia moyoni mwangu...! nimejikuta nawachukia ghafla (bwana yesu nisamehe kwa hiili)
acha kbs!! na huku tena kwenye mambo yetu sisi tunapunguza umri wa kuishi wakati wao shavu shavu.....i dont know why am hating girls much much and so much
wenye kazi tena ndiyo wabaya...bora mama wa nyumbani!Pole. Bado unaweza ukatafuta yule ambaye ana kazi yake....ambaye hatakula vya kwako....:lol:
i dont know why am hating girls much much and so much
Acha punye........, then you will start liking then loving them!
Just hold on, kameruni ataruhusiwa muda si mrefu.
Pole. Bado unaweza ukatafuta yule ambaye ana kazi yake....ambaye hatakula vya kwako....:lol:
wizi mtupu, nipo hapa nafanya kazi certel yaani nikiwa nawasikia wanawake wa hapa wanavyowasema waume zao,,,mpaka sitamani kumwona mwanamke yeyote mbele yangu...wengine wanawaita waume zao 'wazushi' wanawake kweli mi siwawezi...kwanza wengi mmekaa kipesa pesa tuuu
kuniangalizia watoto wangu