WANAWAKE wameumbwa kwaajili ya wanaume!!!!

afu wengine utakuwa wanalingia magari ya waume zao!!! kweli nimeamini dunia imekwisha sasa
 
just using them!! ndo maana naona ni for use only...
 
kaka yani katika thread ya maana kwene jf kuliko zote..kuanzia jf imeanzishwa nii..uko vizuri kaka uliyoyasema ni kweli mtupu..

Solution...usikubali kuoaa wala kuwa na demu...kuwa single tu..achna nao hawana jipya...wameumbwa ajili yetu...so ...hawa ni vivumishi tu kwene maisha...achana nao
 

Not logical...

Sijui kwa nini mainjinia wengi sio romantic!!!
 
hahahaa kwani hamjui imeandikwa MWANAMKE ATAKULA NA KUFURAHIA ALICHOTAFUTA MWANAUME KWA JASHO? km hamtaki tubadilishane nyie mzae kwa uchungu!
 
Nampenda sana MAMA yangu namshukuru MUNGU kuzaliwa kidume,kwa sisi vijana wa kuanzia 80's ni bora upambane na WANYAMA wakali msituni kuliko wasichana/wanawake ni HATARI kama mke wa lutu macho juu juu.
 
yaoooo???? nyoooooooooo
 
Nampenda sana MAMA yangu namshukuru MUNGU kuzaliwa kidume,kwa sisi vijana wa kuanzia 80's ni bora upambane na WANYAMA wakali msituni kuliko wasichana/wanawake ni HATARI kama mke wa lutu macho juu juu.


only mama!!! mama atabaki kuwa mama i love her tooo!...wanawake wengine wote .....i hate them
 
Nadhani hujajitambua mwenyewe. Sio unawachukia madame lakin unajichukia mwenyewe. Tafakari vizuri.
 
He he he lako
ushalikoroga, shurti ulinywe.
Labda kama wala vibudu

only mama!!! mama atabaki kuwa mama i love her tooo!...wanawake wengine wote .....i hate them
 
Kama wanawake wanakusumbua jaribu jinsia yako isiyosumbua.
 
kuniangalizia watoto wangu

Watoto wako au watoto wenu? Mnaona vihela vyenu kushare vinauma mnatusimanga kila kukicha,ila mwanamke akibeba tumbo miezi 9 plus mchakamchaka wa Labour na ulezi nyie mnasubiri kutamba tu MTOTO WANGU! Utafikiri Labour mliingia wote. UBINAFSI TU UMEWAZIDI.
 
only mama!!! mama atabaki kuwa mama i love her tooo!...wanawake wengine wote .....i hate them
Hata dada zako? Bası wewe utakuwa sı mtu wa kawaıda unahıtajı msaada.
 
Gango2 fikra zako zimezua hisia tofauti
 
nakila sababu ya kuwachukia ,ila ndo nazidi kuwapenda siku baada ya siku.......hata maandiko yamesema tuishi nao hawa kwa akili! mw love u ladies out there.
 
Most of them, 85% women ni hasara tupu, tuangalie tangia enzi na enzi mwanamke ni balaa, look Adam & Eve, Samson & Delilah, Bill Clinton & Monica Lewinsky, Mandela & Winnie, IMF chief Strauss Khan, wooote hawa wanawake wamewaangusha au kuwachafua so badly na hao ni wanaume wenye kila kitu.

THINGS TO LEARN ABOUT WOMEN:
Tukae nao kwa akili, kuhusu mapenzi akili yao ni moja
woote, wanawake wengi ni viumbe visivyoridhika, fanya ufanyavyo, vyoote, bado umwangalie sana na kumwongoza
daily, muombe Mungu akupe aliye wako kweli, otherwise you as a man be honest with urself na mfunze maisha ya standard yako: wanageuka siku moja na kusahau yoooote mema na kwa miaka kadhaa mliyofanya tena kwa kudanganywa, na nature yao ni KUDANGANYWA,
I am out ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…