WANAWAKE wameumbwa kwaajili ya wanaume!!!!

Nadhani hujajitambua mwenyewe. Sio unawachukia madame lakin unajichukia mwenyewe. Tafakari vizuri.


utakuwa na matatizo ya akili wwe nani kakwambia mimi najichukia mbona cjichukii
 
Kama wanawake wanakusumbua jaribu jinsia yako isiyosumbua.


mr president kanisaidia sana sihitaji maelezo mengine namnukuu
Most of them, 85% women ni hasara tupu, tuangalie tangia enzi na enzi mwanamke ni balaa, look Adam & Eve, Samson & Delilah, Bill Clinton & Monica Lewinsky, Mandela & Winnie, IMF chief Strauss Khan, wooote hawa wanawake wamewaangusha au kuwachafua so badly na hao ni wanaume wenye kila kitu.

THINGS TO LEARN ABOUT WOMEN:
Tukae nao kwa akili, kuhusu mapenzi akili yao ni moja
woote, wanawake wengi ni viumbe visivyoridhika, fanya ufanyavyo, vyoote, bado umwangalie sana na kumwongoza
daily, muombe Mungu akupe aliye wako kweli, otherwise you as a man be honest with urself na mfunze maisha ya standard yako: wanageuka siku moja na kusahau yoooote mema na kwa miaka kadhaa mliyofanya tena kwa kudanganywa, na nature yao ni KUDANGANYWA,
I am out ...
 
wenye kazi tena ndiyo wabaya...bora mama wa nyumbani!
i have a friend, mke wake anafanya kazi analipwa abt 2m, but expenses zake huyo mke wake kwa mwenzi ni 2m+!

Inategemeana walipoana walibaliana nini....maana siamini kama ni mke ambaye yupo kujenga familia yenye maendeleo, hatakuwa anamkomoa mume wake kiasi hicho! Maana huko ni kukomoana! Wengine wana malengi yao, na kama mume alipokutana naye alimwonyesha kuwa yeye ndo mfadhili, basi itabidi afanye hivyo hata wakioana.
 
i dont know why am hating girls much much and so much

u nid a doctor, nyi ndo mnaoua mama zenu na kuishia kuolewa au kuoana na wanaume wenzenu atakae kua mpenzio ana mkosi.
 
kama uliingia moyoni mwangu...! nimejikuta nawachukia ghafla (bwana yesu nisamehe kwa hiili)

Mzee sasa tukuelewe vipi! Unataka Mwanaume mwenzio tukuchangie Nauli ya Mombasa Ama Tanga tu usende mbali!! nenda leo warudi leo leo. na Basi ya Raha Leo, eeh!?!?
 
kuoa mni hiari kuu kama vipi baki na magari yako, nyumba zako na pesa zako kisa unaogopa vitakuwa vyenu, halafu tutaona jeuri yako
 
I guess huo ni ubinafsi,kwani mungu akikujalia wealth regardless umepitia njia zipi basi siyo wewe tu ndo utanufaika, na wengine pia, hata mkeo watoto na ndugu, marafiki wa familia yenu.

Kama unaona siyo fair mkeo kutumia ulichokivuna, i suppose hata wanao wakitumia utakereka. Kama unadhani unamali za kutosha kabla haujaoa na hautaki ziwe mali za familia bali za kwako tu , waone wanasheria wakusaidie, wewe utasema ni vitu gani hautaki viwe considered na mchumba wako nae atasema vyakwake, ila utahaibika utakapo gundua mchumba wako anautajiri kuliko wewe. Baada ya hapo mnafunga ndoa na mnaanza kuchuma upya mali ya Familia. Japo siyo ubinadam kama umekublai kushare maisha basi share kila kitu between you guys. na kama unaona unaonewa kuwa mtafutaji wa familiya mruhusu mkeo atafute ila usimuulize how
 
Ni mpango ambao upo tangia enzi zile kwa hiyo kuibadilisha ni ngumu sana unatakiwa kuamini muumba wako
 
Snoopy in one of his songs said; Money brings pubs, pubs brings love. Thus how life goes on. Just work hard to get Money, that wll bring the type of woman you want. 'Wo-man'.
 
Na ni kwa vile tu inapotokea issue ya couple kutengana unakuta big role party ya talaka inatawaliwa na mwanaume.
Ingekuwa wanawake ndiyo wanahusika kwa kiasi kikubwa katika ku'issue divorce wanaume MNGEACHIKAJE ?!
 
 
mmh umeathirika kisaikolojia ww, unahitaj kbs kupata ushauri.
unageneralize mambo kwann? sio wanawake wooote wako ivyo jaman mmh.
pole ww na io iman yako ya kuwachukia wanawake that much itakucost siku moja nakwambia.
 
Utake usitake...Mwanamke ni kiburudisho kwa mwanamme na caretaker of the family, mwanamme ni provider and ensure the family is getting whats needed. There goes you have to work your ass for it.

Hii toka enzi za Adam, soma bibiliya vizuri na la zaidi rudi kwa mungu wako maana dalili za Ucameroon zinaoneka. Hata huyo mamako unaempenda at the end of the day ni mwanamke, muulize baba yako.
 
tusigombanie wanawake, huo ni urithi wa kwetu tulo achiwa na mababu wa mababu zetu. popote pale umuanapo mwanamke jua ni halali yako mwanaume. kumbe wameumbwa kwa ajili ya watu gani?. Mia
 

Kwani ushapata ivyo vi vyumba, vigari na vipesa?ha ha ha, kama ushavipata pole kwa wadada mana utaishia kuwananihii tu na hutaoa milele.
 
Ebu bwana weye wacha ubahili huwezi kufanyachochote bila mwanamke,utaitafuta pesa kuanzia asubuhi mpaka jioni ukienda kulala hulali na pesa ....
 


La! ndugu naomba ukiweza badilisha hiyo avatar yako inatisha aisee wengine wataogopa hata kutoa maoni yao lo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…