WANAWAKE wameumbwa kwaajili ya wanaume!!!!

Ukiwa-hate girls inahusu? Wanaojua umuhimu wao wanaendelea kuwafuatilia kila siku, shauri yako wewe usiyejua umuhimu wa girls

i dont know why am hating girls much much and so much
 
Maneno matakatifu (ya Biblia) yanasema "Enyi wanaume WAPENDENI wake zenu kama yesu alivyolipenda kanisa" na "Enyi wanawake watiini waume zenu". Kwa unayempenda chake ni chake labda yeye aamue vinginevyo na CHAKO WEWE NI CHENU WOTE
 
Ni kweli... Inauma kweli tena sheria za siku hizi, mwanamke anataka vitu pasu pasu pale divorce inapotokea. Baada ya kugundua hili wanaume siku hizi hawatoi taraka, maana ni aghali!!
 
nina hakika roho yako haina tofauti ya avatar yako hii

kama uliingia moyoni mwangu...! nimejikuta nawachukia ghafla (bwana yesu nisamehe kwa hiili)
 
Wacha roho mbaya ndugu, utakuwa unamanyanyaso sana wewe na vijisenti vyako unavyosomeka. Hujawahi kusikika kua 'sharing is caring'?
 

Pole sana: Is this what you prefer...hebu mcheck Kongosho hapa chini.

Just hold on, kameruni ataruhusiwa muda si mrefu.

With that attitude, yaani wala usijaribu kuoa. Utamtesa tu bure mtoto wa watu. Maana naona kuna umimi mwingi sana. Kwenye ndoa hakuna changu, vyote vinakuwa vyetu.
 
Mhh!! Eti wanasema we ar equal! We are equal? If we are equal why those girls doesn't make money and then wakawaweka ndani wanaume kama sisi tunavyowafanyia? Hakuna ki2 pumba tupu!

We are equal but not the same!
Always girls mtabaki kulialia tu! Mnalo hilo?
 

mnh! Tembea uone ndugu yangu mbona kuna wanaume wengi wamewekwa kinyumba na wanawake! Looh! Tena hata usiseme unakuta mwanaume anamkana hata mzazi wake kisa kakolea mapenzi kwa mwanamke haya mnayoyaandika hapa sijui mna hate gals mara pesa nimechuma ni kupunguza frustation zenu hapa Jf but usiku wenyewe mnahaha kutafuta wanawake tena kwa gharama za juu!
 
bila mwanamke nani angepiga pamba
 
tusigombanie wanawake, huo ni urithi wa kwetu tulo achiwa na mababu wa mababu zetu. popote pale umuanapo mwanamke jua ni halali yako mwanaume. kumbe wameumbwa kwa ajili ya watu gani?. Mia

Mmmh ndio wale wale wabakaji.
 
mwanamke ukishamjua awezi kukusumbua, tatizo lako haujatujua na haujui jinsi ya kuishi nasi ndo mana unatuchukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…