kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
-
- #21
Tafsiri yetu ya kujenga uchumi sio sawa. Kuna watu wanaodhani ili mama aonekane anafanyakazi lazima nae aache watoto na nyumba akashinde kazini apewe mshahara. Uchumi mzuri ni ule ambao unasababisha watoto, baba na mama wana afya, elimu na maendeleo ya kiuchumi. Uchumi wa mwanamke kushinda kazini pia ni uchumi unaosababisha watoto wasiwe na usimamizi majumbani na baba na mama wasielewane, jioni baba na mama wote wamechoka na kusubiri wapewe ripoti kuhusu watoto wao kutoka kwa house girl, majirani na ndugu walioshinda na watoto wao.50/50 ni scam
Taifa na uchumi wa nchi hujengwa na wanaume !!?
Familia ambazo baba na mama wote hawashindi nyumbani inazalisha watoto watoro shuleni wanaofeli masomo, makahaba, mashoga, na watumia dawa za kulenya. Vinginevyo baba lazima awe mkali sana kwa watoto. Mama siku zote sio mkali na wqtoto hawaogopi mama.