WANA JF, kwa nini wanawake hawa wa mjini huwa wanajikiria wao tu, kuna mifano kadhaa kwa msichana wa kaka yangu, amemnunulkia zawadi mbalimbali ili aonekane wa kisasa.
cha ajabu msichana huwa anasahau yote aliyotendewa na kidogo hukata mawasiliano pale wanapoakwaruzana,
kwa nini kwani wasichana wana nini, mashetani au?
Here we go AGAIN!

Dooky.... Katika mahusiano kuna ile kitu inaitwa kusomana tabia... Kila mmoja wa wapenzi hao hufanya hivo ili kujua mipaka ya mambo ambayo aweza fanya ndani ya mahusiano na yale ambayo hawezi fanya. Kwa maelezo ulotoa thou very brief, inatoa picha kua kakako anamuendekeza saana mpenzi wake, na waishi katika mahusiano kama mtu na babake/mkubwa wake badala ya mtu na partner ama mpenzi wake. Na ni kua whatever the lady demands kakako yupo tayari kutoa kabisa bila hiana. sasa inapotokea kua kakako hana ama hawezi kamilisha kile huyo mpenzi wake anataka ndio hapo anageuka mbogo; na inaonesha kakako mara moja hu react kwa kukamilisha kile kilichopelekea hayo mambo.... Dawa ni kakako ajaribu mtingisha siku moja, amwambie nimeshindwa kutimiza... Kama hunielewi basi naona umenishinda... blive me huyo dada hatakubali kakako amuache... else kama alikua hampendi toka kipindi.
Yaani mtu akisema kuwa wanawake tunapenda sana kulalamika.......huwa namshangaa kweli!!