Wanawake wanacheat zaidi ya wanaume......

Hujawajua wanawake wewe unatoka nae masela wamekaa maskani wanakuangalia unavyojitanua nae wanajisemea kimoyoni ungejua
Mimi wangu ha-cheat!!! msintie kihoro! nnkashindwa kutoka nae Jpili bure, nkiogopa kuchoreka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…