Wanawake wanafanya mahusiano kama ajira

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Inakuwaje binti anaishi na familia yake, namaanisha baba na mama na bado analilia kuhudumiwa kama vile mtoto yatima??

mahusiano ndio kwanza yana wiki mbili sijakuowa unaishi kwenu na bado unataka kuhudumiwa kama mke wa wan ndoa,

Aisee nimeshangaa sana bora nitafute visa tu nikimbie nchi hawa madem wa Tanzania ni visanga hata kama ni njaa hii sasa kali.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hawa mademu wote unaoona ni mastaa hii ndio kazi yao, nasikia kuna wengine eti ni Wachungaji!
 
Mwanamke Uhusiano wa Mapenzi ni Ajira kwa mwanamke, mda wote anahitaji ujira wake.
Mwanamke kudai kuhudumiwa kwa sasa hivi hiyo ndo kauli ya wanawake walio Wengi.
Na mwanamke anapokuja Geto anakua na lengo la kupata Faida kwa ujio wake kwako kama Kupata Vitu( Zawadi) au Pesa asipopata hivyo hitu lazima aanze kulalamika haumuhudumii.
K- Ni Biashara inayouzwa kwa kigezo cha kuhudumiwa.
Na Ukihudumia atakuambia haumridhishi kitandani, kesho anatafuta wa kumridhisba kitandani
 
Pole. Mnakutana wapi na watu kama hawa?πŸ€”
 
Alafu na matusi juu...aloo Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…