Wanawake wanafanya mahusiano kama ajira

Hukutakiwa kujibu hizo meseji tatu za juu,hawa wapuuzi sio wa kuwaendekeza
 
Tulishakubaliana kwenye kikao hakikisha , haumpi mwanamke vitu vya thamani, muahidi piga k , ichakaze, ukichoka tembea mbele , ikiwezekana kama anapesa ondoka na pesa yake hatokusahau
 
Mwanafunzi nini?
 
Hawa wanawake wengi wao wapo kwenye mahusiano, siyo kwa upendo wapo kwa maslahi binafsi
Ndio maana ukimletea manyoka anaona malengo na faida alizotaka kwako hapati atakimbia kama kamwagiwa upupu kwenye ubongo, na kule anakoenda nako anaenda kupasuliwa hivo hivo ndio mwendo wao , na miaka inakatika wewe unakua unamcheka anavopigwa danadana tena asiombe akawa single Maza imekula kwake
 
Mbaya zaidi wanawahi kuzeeka kuliko sisi wanaume
 
Mbaya zaidi wanawahi kuzeeka kuliko sisi wanaume
Mwanamke akishagonga 40, tayari habari inaisha atabaki kupigwa na ma x au yeye ahonge na alee vijana , zaidi ya hapo anabaki kama uchochoro wa chooni kila aliyebanwa na haja atapita kwenda kujisaidia kidogo na kuondoka , ndio maana ukikuta mwanamke ana 40 kuendelea Hana ndoa na single Maza anabidi awe mpole , hua wanajigonga kwa wame za watu halafu wanaishia kulia kilio kitakatifu labda apate mstaafu amstiri na mafao yakiisha mateso yanaendelea
 
Mtawalaumu sana hawa mabinti lakini hebu tukuulize, we mwenyewe ndani ya hizo wiki mbili hujataka mzigo kweli? ... isije ikwa ndo wale wale leo mmetongozana kesho unaomba mzigo.

We ukiwa unamfanya kama mkeo tayari (unakula mzigo) basi kubali na yeye kukufanya kama mumewe (Kukuomba pesa)
 
Sema inatakiwa hayo maneno uliyoandika kwenye Aya ya pili.
Umtumie.
 
Sijawahi hata kula mzigo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…