Hujawahi kula mzigo! je ulishawahi kuomba ukanyimwa? ... isije ikawa mtumishi/ustadhi umeingia mtumbwi wa vibwengo ujue! tabia ya kudemand kuhudumiwa shortly baada ya kuanza mahusiano haiendani na tabia ya kutotoa kiburudisho.
We ulisema huyo binti amefikia mpaka kukuuliza kama wewe humhudumii sasa je akatufute mwanaume mwengine? ... unahitaji nini tena zaidi hapo kamanda?