Wanawake wanafiki sana

Mandown

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
1,665
Reaction score
507
TUMEANDAMANA NA KINA MAMA KWENDA MSIBANI........ HAPO NJIANI TUNA CHEKA NA KUTIA STORI KAMA HAKUNA MSIBA...... ILE KUFIKA MSIBANI SASA....... HEKA HEKA KWA VILIO WANAJIGALAGAZA NA KUJITUPA CHINI......HEE! NIKAPIGWA NA BUMBUWAZI:yell:
 
wanawake wa japani nini...????🙂🙂
 
Dah! Umenikumbusha tukio flani hivi.. Wanawake kwa hapo kweli wazushi.
 
Wangelia mkiwa safarini huenda wangecheka huko msibani, hivyo walijitahidi kumaliza kicheko chote mkiwa njiani huku wameseu kilio kwa matumizi ya kwenye msiba..

TANMO.
 
Walikuwa hawaamini labda baada ya kufka msibani wakaamini.
 
Wanawake wa kibongo kwa Bagamoyo tu nawaaminia.
 
TUMEANDAMANA NA KINA MAMA KWENDA MSIBANI........ HAPO NJIANI TUNA CHEKA NA KUTIA STORI KAMA HAKUNA MSIBA...... ILE KUFIKA MSIBANI SASA....... HEKA HEKA KWA VILIO WANAJIGALAGAZA NA KUJITUPA CHINI......HEE! NIKAPIGWA NA BUMBUWAZI:yell:
Login failed,try login with onother password?
Password>>wanawake Wanafiki kweli mi nishazibitisha Mara nyingi hicho unachokisema<<
 
Ha ha ha ha, wana roho nyapesi kama ndege labda.
 
nilishawahi kwenda msibani,nikawa silii,wenzangu walikuwa wanalia,nikaonekana mimi ndio mnafiki,kwa nini silii.na mmoja akaniuliza kwa nini silii.
 
wengine hulia,sio kama wana uchungu na aliekufa,ila waonekane tu mbele za watu kama wana huzuni.
 
Ahahahahahaaaaaaaaa duuuuh nimecheka sana aisee. Full usanii wa daraja la kwanza.
 
Njiani wanamsengenya marehemu, wakifika wanajigalagaza. Sikilizia ubwabwa upitishwe sasa! Hata mie nakuunga mkono, mambo ya kulia hadi kutapika damu inahuu?
 
bora ya hao wanaolia kuliko mkuu wa kaya akienda msibani yeye anakenua tu mijino yake tu utasema anatangaza whitedent
 
Hii inaitwa kuishi jinsi Jamii inavyotaka muishi!
We are expected kulia, usipolia unaweza hata kuhusishwa na kifo cha marehemu (hiyo ni extreme case ofcourse).

So wengi huvuta hisia au za ndugu zao waliotangulia au kuvaa viatu vya mfiwa na machozi huja, kama si sauti.
 
Sio msibani tu, bali hata katika maisha ya kila siku. Ni wasanii kweli kweli. Chukua changudoa siku moja uone anavyoigiza mapenzi ya dhati, mnyime hela yake uone uhalisia wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…