Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,119
- 4,156
Eeeh we ni msemaji wao niniUlivyovndika wanavijua kuliko hata wewe unavyovijua ni unajaribu kuota amka wewe
Ni mtazamo tu maselaUongo.
Wanawake wanaendeshewa biashara na wanaume..
Wanalipiwa pango, kodi tra, wanajaziwa bidhaa dukani, wanapewa usafiri na hela ya lunch..
Ukiona mwanamke ana biashara nyuma Kuna kundi la wanaumwe
Aliyeanza kuwazungumzia ni nani? Hadi uzi umeanzisha yani wamekukaa ukakalikaEeeh we ni msemaji wao nini
Nakushauri ungelala tu mkuuAliyeanza kuwazungumzia ni nani? Hadi uzi umeanzisha yani wamekukaa ukakalika
Amka kijana
Ni uhalisiaNi mtazamo tu masela
Km ni rahisi hivyo basi wanawake wote wangekuwa wafanyabiashara na wana maisha mazuri..!!!Uongo.
Wanawake wanaendeshewa biashara na wanaume..
Wanalipiwa pango, kodi tra, wanajaziwa bidhaa dukani, wanapewa usafiri na hela ya lunch..
Ukiona mwanamke ana biashara nyuma Kuna kundi la wanaume
Agiza bia nakuja kulipa.Uongo.
Wanawake wanaendeshewa biashara na wanaume..
Wanalipiwa pango, kodi tra, wanajaziwa bidhaa dukani, wanapewa usafiri na hela ya lunch..
Ukiona mwanamke ana biashara nyuma Kuna kundi la wanaume
Km ni rahisi hivyo basi wanawake wote wangekuwa wafanyabiashara na wana maisha mazuri..!!!
Nwei hao wanaume wanapatikana wapi watufungulie hizo biashara mkuu?
Azingatie kundi la wanaumeUongo.
Wanawake wanaendeshewa biashara na wanaume..
Wanalipiwa pango, kodi tra, wanajaziwa bidhaa dukani, wanapewa usafiri na hela ya lunch..
Ukiona mwanamke ana biashara nyuma Kuna kundi la wanaume
Inategemea akili uliyo nayo ila wapo wenaume wengi sana wenyewe wanaitwa masponsorKm ni rahisi hivyo basi wanawake wote wangekuwa wafanyabiashara na wana maisha mazuri..!!!
Nwei hao wanaume wanapatikana wapi watufungulie hizo biashara mkuu??
Kwahiyo wewe kwa mawazo yako wanawake wote wenye biashara wana ma sponsor??Inategemea akili uliyo nayo ila wapo wenaume wengi sana wenyewe wanaitwa masponsor
Na hawajuani.Ukiona mwanamke ana biashara nyuma Kuna kundi la wanaume