Wanawake wananipa tabu sana

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,559
Wakuu habari za asubuhi,

Iko hivi,wanawake karibu wote,narudia,karibu wote wamekuwa warahisi mno kutuvulia vyupi (na wengi wao pia huvua wenyewe) yaani kwa mfano umepanda daladala ukamtokea mwanamke kituo kinachofuta ( hata kama hakupanga kushuka hapo) mtashuka na kwenda kupiga show ( easy come easy go).

Watu wanasema ooh wanawake wa siku hizi ndio zao lakini wanawake wa zamani ulikuwa unatongoza miaka miwili hadi mitatu ndio unakubaliwa,sawa lakini kinachonishangaza na kunipa tabu ni kwamba wanawake walewale waliokuwa wakitongozwa kwa miaka zaidi ya mwaka mmoja ndio miongoni mwa wanaokubali kirahisi na baadhi yao hawasubiri kutongozwa bali wanatongoza( hapa nazungumzia wamama watu wazima ambao bado wanafukuzana na wajukuu na mabinti zao kugombania mishedede.)

Kama mwanzo mlikuwa mnakomaa miaka na miaka mlikuwa mnakula chakula gani na leo hii mnakula kipi kinachowafanya msikomae kama zamani?
 

Achana nao fanya mambo mengine
 
Ninakumbuka marehemu bibi yangu alikuwa anasikitika mila zilivyobadilika.
Tulipokuwa tunakwenda kwake kijijini jioni wwnakijiji wote walipeleka chakula kwa chifu, wanawake wote tulikula jikoni na wanaume walikula chini ya mwembe au kibarazani kama mvua inanyesha.

Ilikuwa ni mwiko mwanaume kuja jikoni na kuona wanawake wanakula. Wakihihitaji mchuzi mtoto alitumwa.

Bibi hakupenda kabisa ustaratibu wa kula mezani pamoja na mzee. Alisema ni utomvu wa maadili.

Coming back to the point, bibi alisema huko mnakokwenda mnanunuliwa chips na wanaume mnakula hotelini na malipo mnayalipia guest. Aibu tunapata sisi siku ya harusi.
 
Mm nadhani, Hii zana ya Haki sawa imewafanya wanawake kutafuta hela ya ziada. kama wanaume wanavyofanya deal ndogo ndogo kuingiza kipato cha ziada ndio imechangia.
kwahiyo wao wanaona hizo hela za ziada ziko kwa Wanaume, lazima wavue chup kirahisi wapate hela ya kijikimu.
 
Akili fupi sana hizi kwa hiyo wewe ulomvua haraka huna shida? Yaani mkutane kwenye daladala mvuane jioni ukipandisha suruali ukaweka bando uje jf kuwalalamikia wanawake?
 
Akili fupi sana hizi kwa hiyo wewe ulomvua haraka huna shida? Yaani mkutane kwenye daladala mvuane jioni ukipandisha suruali ukaweka bando uje jf kuwalalamikia wanawake?
Mkuu ungenielewa wala usingeandika ulivyoandika.

Wanaume hasa waafrika kutongoza ni asili yetu,na tunapotongoza haimaanishi tukubaliwe na ndio maana idadi ya uliowatongoza ni kubwa kuliko ya uliowagegeda na tunapokubaliwa haimaanishi tukubaliwe haraka.

Ndio maana hoja yangu imejikita huko kwenye urahisi na wala sio kipato cha mtu maana kuna wengine wako vizuri kiuchumi na bado ni easy come easy go.
 
Ukitongoza hovyohovyo ina maana na wewe ni hovyohovyo ndio maana mkakutana wa hovyohovyo mkavuana hovyohovyo.
 
Wanaume na Sisi tumezid tukizungushwa shida..ukipata voda fasta nayo unalalamika!!dunia imebadilika chief mambo ya kuzungushana wap na wap hata umri WA kuishi unazid kuporomoka huoni..
 
zamani watu walitembea kwa miguu hadi kigoma kwanini tusirudie taratibu zote za zamani ???
 
Beijing iliharibu kila kitu.

Fanya yako tu acha kuwaza wanawake.
Waza kutafuta pesa maana una jukumu la kuitunza familia na katika family hiyo yumo mwanamke na watoto pia.
 
Mbona hujaweka takwimu kuthibitisha hoja yako?
 
Me nadhani kuzungushana saaaaana kama unachimba madini sio ishu kwa nyakati hizi,.muda umekuwa mchache sana halafu mambo ya kutekeleza ni mengi mno in short muda haututoshi...sasa mkianza kuzungushana mwaka,miaka miwili halafu mkija kukubaliana hata mwezi hamdumu ndio nn kama si upotevu wa nguvu na muda,.mm nadhani iwe hivi;mtu ukijiona una uhitaji kwa wakati huo tafuta huna uhitaji kaa chonjo fanya mambo mengine tuu na ukiona unazungushwa au unazunguka saana kutafuta inabidi ujitafakari kwa maana "kila jambo na wakati wake na majira yake chini ya jua" sio kila wakati ndio ndio wenyewe!!!
 
Huyu siku zote hakubaliwi.

Sasa kakubaliwa anajifanya ku diss.

lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…