Wanawake wananipenda kwa sababu sijatahiriwa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Nimehamia maeneo ya Ukonga siku si nyingi nikikimbia Tabata nilikokuwa nikiishi.

Kilicho nikimbiza Tabata ni kero ya wanawake pale mtaani, kila mwanamke anataka nilale nae.

Huku Ukonga nilimuonja mmoja, akaenda kumwambia mwenzake kuwa nina hazina ya maraha iliyofichika.

Mwenzake akaja, sikumnyima.

Tangu nimehamia huku tayari nimesha wagegeda tisa, na wamesha anza kupigana kwa ajili yangu.

Siri iliyoko nyuma ya pazia ni kwamba, wanafuahishwa sana na mkono wangu wa sweta.

Kwa sasa sitaki tohara, mpaka ntakapofikisha miaka sitini
 
ukitoka tabata uje huku maeneo ya kwetu utagegeda wengi pia
 
Bujibuji fanya uchunguzi kubaini kama haihusishwi na imani za 'kimila'
 
Back
Top Bottom