mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Haaa,haa,haaa umenichekesha hadi nimemwaga juice kwenye key board,haaa haa!!!huku buzebazeba ya kigoma ujiji utakuja lini tukuonje????
Duh...!! Kumbe wewe ni mzungu...!!We unadhani kwanini wadada wengi wanawashobokea wazungu?
Haaa,haa,haaa umenichekesha hadi nimemwaga juice kwenye key board,haaa haa!!!
you included?
Na mi pia nakuja na ngisi wangu na nyanya chungu kwa ajili ya kuongeza vimiminikahahahah, mbona siku nyingi; ukija nakupokea stesheni na ugali wa lowe na migebuka ya kuchoma ili upate nguvu za kutumika vyema!
Kumbe upo buzebazeba?huku buzebazeba ya kigoma ujiji utakuja lini tukuonje????
no oneI might be includedWho knows...........
no one
hope ukikolea hutamwachaokay so wait atakapokuja huku maeneo yetu utajulishwa if I was included or Not
Ukija huku kwetu nijulishe.......
Kumbe upo buzebazeba?
ngoja nikutafute mwaya
nipo mtaa wa livi hapa.