md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
md4doctor2000 mi damu yangu ni ngoma proof
Asili yetu lisha haribiwa na wageniNa kila kabila lililotembelewa na waarabu nao hutahiriwa . Kazi kweli sasa sisi weusi asili yetu ni nini.
Evelyn Salt umenifurahisha sana.....
dadangu kwani we na bujibuji ni Wahaya na Wajaluo?Usikate dia hadi sisi wanawake tukuambie!!!!!!!
Wee hujasoma mustakabali wa damu yangu??we endekeza ngono legevu, utakuja vishwa nepi shauri yako
dadangu kwani we na bujibuji ni Wahaya na Wajaluo?
hata king'amuzi unacho?
Ndo kinini hicho? huenda nnacho ila sijui kama ndo chenyewe......
Hahahahahaaa Bujibuji haiwezekani...kama kuna dawa hiyo naomba unipeleke huko fasterNgoja niwaulize ma specialist wa Kichina, maana wale hawashindwi kitu, wanadawa za kila aina. Walimpa dawa ya mifugo jamaa , kuku wake wanatotoa ng'ombe
hahaha hukijui kumbe king'amuzi? ni kisi.mi
ha ha ha ha we niache mie!!!!!!!!!!
sikijui hata hicho........
Bujibuji ukija pata kaswende wataikata kwa lzm;syphillis ndiyo iliondoa hii kitu yangu bana!