Wanawake wananitumia kisha wanaondoka

Kwamba?????
 
Unanyota kali ya VVU, pia mkono wako ni mwepesi, hawaji kwako bahati mbaya wameambizana teari wanajua unamkono mwepesi.
 
Miaka 24 ungekua wap kimaisha wakat ndo damu inazunguka utasema round about za barabara sema utoto unakusumbua na ujana ukikua utaacha na kuanza kufanya mambo ya msingi
 
18 ni wachache sana.

Kikao kilichopita tulijadili ili uoe na kujutia labda ufikishe ke 30.

Pole sana brother,
Kiukweli kwenye relationship usipokuwa makini na usipowekeza kwenye akili na kujifahamu, utaishia kutengeneza kipato kwa ajili ya mabinti na wanawake.

Ushauri wangu kwako.
1. Uwe na kiasi kwa wanawake.

2. Uji- control kwenye kupenda.

3. Achana na wanawake kabisa.

4. Mkabidhi Maisha yako Mungu, uachane na mengine, usubirie kupata mke wako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…