Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,428
Wakuu habari za leo..
Mchana wa leo nilikwenda ofisi ya Manispaa kwa minajili ya kuonana na mtu fulani personally..
Kwa vile majengo yapo mengi na ofisi ni nyingi ilinipa nafasi ya kupita na kukaa hapa na pale kwa kadiri mwenyeji wangu alivyonitaka kufanya..
Sasa kilichonishangaza ni hawa watumishi wa jinsia ya kike ni wazuri watupu. Mnataka niwaelezee, sasa sikia
Ni wazuri aisee 70% wana tako.. Yaani tako namaanisha vimisambwanda na mamisambwanda. Maguu wenyewe mnayaita ya bwia. Mwendo sasa ni kisanga wanakwenda kwa step balaa.. Viuno mnaitaga vya nyigu bana.. Mi sijui..
Na hawa wasio na misambwanda ni wazuri aisee.. Ila sio mbaya sasa mi shida na mshangao wangu sio uzuri wao..
Nachojiuliza system za uajiri ziliajiri tu zenyewe kwa maana walikuwa na sifa haswa..?
Kuna mkono wa mtu hapa wenyewe mnasemaga kamlete mtoto wa dada, kaka au shangazi..demu wako..
Au ndo tuseme walitoa kwanza nanihino.. Niniii... Enheeee wanaita Rushwa ya naniliau.. Eeh iyoiyo(si ushaelewa bwana tulia)
Au mawazo yangu sio sahihi.. Lakini wakuu hizi types za mademu mbona ndo walikuwaga wavivu sana kwa lecture.. Ilikuwa tia maji tia maji... Gafla washamaliza na GPA 4. 0..
Hawa mnaowaita shepu mnazi sijui ya friji... Ni wasomi hatari.. Inamaana katika kujiriwa walizidiwa maarifa kweli?..
Kina dada mkuje mseme wenyewe bana... Na maafisa uajiri fungukeni hapa mi naona sio bure[emoji16]