Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kumuomba MunguNi changamoto sana ila tutafanyaje
KwakweliKumuomba Mungu
Halafu ukizingatia kuwa kumbe tunashika namba 5 duniani kwa umeme ni shida sana! Kuweni waangalifu!Unatongoza mwanamke anakuja kukubalika anakua mpenzi wake mkiwa fargha unajiachia hata zana hutumii kumbe mwanamke ni malaya wa kisirisiri mwisho unashangaa una gono unashangaa umepataje kumbe mwenzako ni mdangaji mmepangwa kama watano bila ya kujua.
Sitetei malaya hapana lakin ni Bora mwanamke anayejiuza wazi wazi kuliko mdangaji sababu mwanamke anayejiuza wazi wazi hata ukiruka naye lazima utakua makini sana.
Kutoka na ugumu wa maisha Kuna wanawake wengi sana ambao huwez tegemea lakin ni wadangaji na ndo wanaongoza kuwapanga Wanaume wengi na ni rahisi sana kupata magonjwa ya zinaa kutoka kwenye hili kundi zaid hata ya malaya.
Hata huyo mmoja uliyemchagua naye anaweza kuwa malaya vile vile. Hakuna fomyula [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Fact.
Ila sasa wakati utafika mwanaume inabidi uchague kuishi na mmoja malaya utachukua mpaka lini mkuu?
Wapo waliotulia na Malaya nao wapo uamuzi ni wako.Hata huyo mmoja uliyemchagua naye anaweza kuwa malaya vile vile. Hakuna fomyula [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Umeongea kimaster sana mzee, Kiufupi naona ni bora tu kupiga malaya wanaojipanga maana hawa wanaojifichia kwenye saloon za kike na Barbershop ni mwendo wa Gono tu, alfu anakuzugia eti anakupenda ndjo inakua vibomu kila uchao.?Tatizo la wanawake wadangaji,
Huamini Kila mwanaume anaemdanga hajijui Kama anadangwa.
Wengine tunaweza jijua kabisa hapa tunadangwa na tukakausha TU kusudi na kustick na kilichotupeleka.
Maana tulichofata kwa mwanamke mdangaji sio mapenz Bali ni ngono tu.
Wengine hufuata
-nyota (Kuna wadangaji wengine wana upepo wa pesa) n.k
Ila lengo kuu,
Ni Tukojoe vizuri tufurahishe nafsi zetu
Kisha tukafanye mambo mengine Zaid ya kimaendeleo.
Bongo tunaendekeza ngono sana.Halafu ukizingatia kuwa kumbe tunashika namba 5 duniani kwa umeme ni shida sana! Kuweni waangalifu!
View attachment 2432444
Sijawah umwaga gono tokea nizaliwe sijisifii hapana Bali ndo ukweliPole sana kwa gono
Unatongoza mwanamke anakuja kukubalika anakua mpenzi wake mkiwa fargha unajiachia hata zana hutumii kumbe mwanamke ni malaya wa kisirisiri mwisho unashangaa una gono unashangaa umepataje kumbe mwenzako ni mdangaji mmepangwa kama watano bila ya kujua.
Sitetei malaya hapana lakin ni Bora mwanamke anayejiuza wazi wazi kuliko mdangaji sababu mwanamke anayejiuza wazi wazi hata ukiruka naye lazima utakua makini sana.
Kutoka na ugumu wa maisha Kuna wanawake wengi sana ambao huwez tegemea lakin ni wadangaji na ndo wanaongoza kuwapanga Wanaume wengi na ni rahisi sana kupata magonjwa ya zinaa kutoka kwenye hili kundi zaid hata ya malaya.