Takriban Watu Milioni 315 sawa na 4% ya Watu Duniani kote, wanakabiliwa na Tatizo la Wasiwasi Uliopitiliza.
Mwaka 2020 pekee, 90% ya Nchi zote Duniani zilipatwa na ongezeko la 25% ya Wasiwasi Ulipitiliza, kutokana na kuibuka kwa Ugonjwa wa #UVIKO19.
Kwa mujibu wa Takwimu za Jukwaa la Uchumi (WEF), Wanawake Milioni 195.6 wameathirika na Tatizo la Wasiwasi Uliopitiliza, na Wanaume ni takriban Milioni 119.8.
Je, Unakabiliana vipi na Tatizo la kuwa Wasiwasi Uliopitiliza? Maoni yako yanaweza kusaidia wengine, Tafadhali tuandikie.