Biashara inayotafuta watejaHabarini,
Nimewaza hali ya uchumi ilivyo, na tabia ya wanawake kupiga mizinga kila mwanaume anaewatongoza.
Najiuliza, mwanaume gani ataombwa hela siku chache baada ya kutongoza, halafu aweke kambi kwa huyo dada? Sana sana ama akiombwa hela mara ya kwanza atakimbia, au atahonga mara ya kwanza, ya pili ya tatu, baada ya hapo, awe amekula mzigo au hajala, anakimbia.
Nimewaza kwa sauti.
Wanatakiwa wawe wavumilivu sio mapema na hata kama wana kweli inabidi wafe kizungu na tai shingoniHuwa inatokea tu mtu Ana jikuta na shida hata kama Ana hela
Kingine huwa wanapima uwezo wa mwanaume
Pia wanapima kujari kwa mwanaume
kama hakuna hela aelezwe wazi tu kiungwana na kama ipo asiendekezwe sana kupewa, otherwise yatakua yale ya Biashara ya Mapenzi 🐒Habarini,