Pdidy mie nakubaliana kabisa nawewe kabisa mwanaume ni kichwa cha nyumba na sie ni wasaidizi, Lakini siku hizi mambo yamebadilika mwanaume unatakiwa uwe na msaidizi mmoja tu lakini nyie wenzetu badala ya kuwa na mmojaa unakuwa nao wengi. Sasa yule ambaye ni msaidiizi halali akishaona mabadiliko naye anatafuta mbinu mbadala ya kupora madaraka yako. Hii haijalishi atatumia mbinu gani sijui. Kingine nadhani hata mifumo ya inachangia.
hivi sitaki kuwa msemajinaomba tuwasaidie wanaume wengi hapa jamvini wanaendeshwa kama moto na wake zao hii ni pamoja na madaraka ya wanaume kujimilikisha wanawake .aiajalishi una kipato kuliko mwanaume soma quran na baibo vyotee mwanaume ndie kichwa na sasa kama ulikuwa ujui hili acha kabisa mwachie mwanaume awe kichwa na wewe uwe msaidizi.ukiwa kama mdau wa ndoa ama unaekaribia kuoa unamdaidiaje dume hili hata kama atojitaja hapa jamvini
nakaribisha maoni
Masharti na maoni kuzingatiwa....
Wanaume wa leo asilimia kubwa wamekataa majukumu. Wanawake wameshika usukani. Kwishney!
Wanaume wa leo asilimia kubwa wamekataa majukumu. Wanawake wameshika usukani. Kwishney!
Pdidy mie nakubaliana kabisa nawewe kabisa mwanaume ni kichwa cha nyumba na sie ni wasaidizi, Lakini siku hizi mambo yamebadilika mwanaume unatakiwa uwe na msaidizi mmoja tu lakini nyie wenzetu badala ya kuwa na mmojaa unakuwa nao wengi. Sasa yule ambaye ni msaidiizi halali akishaona mabadiliko naye anatafuta mbinu mbadala ya kupora madaraka yako. Hii haijalishi atatumia mbinu gani sijui. Kingine nadhani hata mifumo ya inachangia.
Utuombe radhi tafadhali
Mi nadhani hii kitu imekuja baada ya Wanaume kuacha kuwatandika mangumi wake zao au wapenzi wao ndio maana wa kina dada na wanawake wanakuwa wanawapanda vichwani wanaume.