Haahahaaaaaaa nimeipenda hiii mamy na najua imekugusa mpaka kwa mtima, thats what i wantedmtoa mada PAMADAKU PAKO...(masaburi yako)
cz umetoa mada ya kudhalilisha..km umewapata ao panya wako pasi[po kutoa jasho bas ni ao ao haina haja ya kusema wanawake wote
na ukome kufananisha wanawake wenye maadili yao na Hao wauzaji.
kua na adabu
Nasikia zamani (maana sikuwepo) kazi ya kutongoza na mpaka mwanamke kukukubalia ilikuwa ngumu kuliko kuomba mkopo benki siku hizi. Sina uhakika sana na sababu za wakati huo lakini inaonekana wanawake walikuwa wagumu sana kusema ndio kwa mwanaume aliyekuwa anamtokea.
Sasa siku hizi, kuna watu wanasema "For women saying no is next to impossible nowadays" Siku hizi ni kawaida kabisa kwa wanawake kuwatongoza wanaume, ni kawaida kabisa siku hizi kwa watu kujikuta wamefanya mapenzi bila kutongozana na mengine mengi.
Sasa maswali yangu ni kwamba,
Imekuwaje kwa NO ya wanawake ile ya zamani?
Kumetokea nini kwa kale ka utaratibu ka wanaume kutoka jasho kwa kumtongoza mwanamke kiasi cha kufikia hata mwaka kabla hajampata.
.........................................................
lets talk.....
Yameingia kwenye HANSADI mamaUsibanie mabadiliko, naomba nikuongezee yafuatayo:
- wanaume kutunzwa na wanawake
- wanaume kuomba omba vi pesa kwa wanawake
- wanaume kusahau wajibu wao na kubweteka na kudhani kaolewa wakati yeye ndio mwanaume ndani ya nyumba
yote haya ni mabadiliko kama hayo ya kusema NO yalivyofutika. hii ni kwa sababu ya utandawazi uliopo. Zamani sisi tulikua kunaambiwa sex ni kitu kibaya sana na huwezi kufanya mpaka uingie kwenye ndoa. Siku hizi tunaambiwa fanya ngono salama, tumia condom. What do you expect? Unadhani utaambiwa NO? wakati hakuna mtu anayekuambia sex ni mbaya ila kumbuka condom...
mtoa mada PAMADAKU PAKO...(masaburi yako)
cz umetoa mada ya kudhalilisha..km umewapata ao panya wako pasi[po kutoa jasho bas ni ao ao haina haja ya kusema wanawake wote
na ukome kufananisha wanawake wenye maadili yao na Hao wauzaji.
kua na adabu.kokroach.
Dah! Mbona hivyo kijana?
Wapo wanawake tuna misimamo ya kutosha bana.
Hakuna Ukweli, Usifananishe Enzi za kuandikiana barua na post card na enzi hizi,
Hata gesti sijuhi kama zilikuwepo enzi hizo!
hongera
ila poleni,maana srid za mwaka huu zimechachamaa na nyinyi
wanawake kazi tunayo maana tunakusanywa kama nyanya aliyemo na asiyemo wote wanawekwa kapu moja