Wanawake wanaotumia condom wanajiona wajanja sana

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Katika utafiti wangu nilioufanya kwa wanawake wengi.wanawake wanaotumia condom ,wengi wao wanatembea na wanaume wengi.
Wanajiona wajanja kisa eti wanatumia condom.oooh nilimtosa Yule jamaa kisa alikataa condom.ina maana mtu akikubali condom ni basi yaani.
 
Kila siku wakati natimiza majukumu yangu, huwa nawapa condom za bure kabisa ila wengine wanajifanya kuzikataa na kuona aibu.

Nyie wenye kujifanya mna aibu ndio wabaya zaidi...nitaendelea kuwapa wazee maana hawazikatai[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Naomba kesho niletee box nzima
 
Mi nijuavyo wanawake wengi wanaotumia njia za kuzuia mimba kama vijiti, vidonge na sindano ndo wanakuwa malaya sana maana wanawake wengi huogopa mimba sio Ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…