Wanawake wanaotumia condom wanajiona wajanja sana

Ni bora ukikutana na anayekulazimisha kutumia condom kuliko anayependa kuliwa kavukavu,jiulize kaliwa kavukavu na wangapi huko nyuma kabla yako?usalama Wa afya yake upoje?condom is the best answer
 
Kwahiyo wasiotumia Condom wewe unawaona ndio wajanja zaidi kuliko wanaotumia?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mi kwanza twende zahanati
Pili tumia kondomu kwa muda
Miezi mitatu tucheki tena
Halafu nyama kwa nyama tu
Upo Miss Natafuta?

Bazazi
 
Unaongelea zile lady pepeta za kutumbukiza au?
 
mada zako zimekaa kichangudoa kabisa
 
Ni bora ukikutana na anayekulazimisha kutumia condom kuliko anayependa kuliwa kavukavu,jiulize kaliwa kavukavu na wangapi huko nyuma kabla yako?usalama Wa afya yake upoje?condom is the best answer
Ni sawa lkn wauni balaah, hawataki kutulia na mtu 1, kila anayemgusa ni twende ila sharti lao ni condom
 
wazee msiuze game aisee hali ni mbaya sana na msikamie sana shoo zenu mwanamke akomeshwii uwezi shindana na ulipotokea
 
Ni sawa lkn wauni balaah, hawataki kutulia na mtu 1, kila anayemgusa ni twende ila sharti lao ni condom
Asikudanganye mtu kuwa asiyekusisitiza condom kwamba yeye hagawi,huyo anayekusisitiza kutumia condom anajali afya yake na pia anakwepa mimba zisizotarajiwa,lkn asiyesisitiza matumizi ya condom yeye kajikita kwenye kuepuka mimba tu habari ya magonjwa (STDs) haogopi,,,na ndio maana wasichana au wanawake wengi hukimbilia kutumia vizuia mimba tu na hawataki kutumia condom
 
PID
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…