F FLASH HIDER JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 397 Reaction score 508 Aug 16, 2013 #1 Hivi wanawake wanaotumia mkono/mguu wa kushoto (left handed), wana sifa ipi ya ziada?
wakyagara wakinyora JF-Expert Member Joined Jan 1, 2013 Posts 735 Reaction score 285 Aug 16, 2013 #3 FLASH HIDER said: Hivi wanawake wanaotumia mkono/mguu wa kushoto (left handed), wana sifa ipi ya ziada? Click to expand... wanajua kuchamba hao....we acha tu
FLASH HIDER said: Hivi wanawake wanaotumia mkono/mguu wa kushoto (left handed), wana sifa ipi ya ziada? Click to expand... wanajua kuchamba hao....we acha tu
asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,652 Aug 16, 2013 #4 wakyagara wakinyora said: wanajua kuchamba hao....we acha tu Click to expand... Acha kuvunjia heshima mama,dada,mke wako
wakyagara wakinyora said: wanajua kuchamba hao....we acha tu Click to expand... Acha kuvunjia heshima mama,dada,mke wako
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 993 Aug 17, 2013 #5 Mimi niliowahi kuwaona, huwa wapole, watulivu, wanyenyekevu na hata akili huwa nazo.