Wanawake wanaowatwanga waume/wanaume zao!?

Mhh,

Hilo ni janga ambalo inabidi mtu aombe yasimkute...Unaweza kufuppisha maisha yako kwa style ya wanyalu!!
 

Kuna mwingine atakubali kudundwa cause anataka kukuoa........ baada ya ndoa anakuwa john cina
 
Jamani mlisahau kuna mtu aliweka video ya kule Kenya jamaa akiruhusiwa nyumbani kwa ajili ya huduma tu "muhimu".. Ni kitu gani kinachomfanya mwanamke ampige mumewe? Wengine hasa kufinya finya hivi.. au maneno mabaya.. Niliwahi kumuona mtu anamporomoshea mumewe matusi ya hadharani utadhani ulikuwa ni mto wa matusi.. !!
 
Vidume vingi vinavyo dundwa hujifanya vibabe huko mutaani
na wakati wa kudundwa utasikia kelele zao kama
nitakuua we mwanmke,ili nje wajue yeye ndo anamdunda mkewe...lol
 
Kama si tafsida basi umetumia lugha ngumu , lakini niko tayari kwa jinsi nilivyokuelewa bibieeee!!!
 
Vidume vingi vinavyo dundwa hujifanya vibabe huko mutaani
na wakati wa kudundwa utasikia kelele zao kama
nitakuua we mwanmke,ili nje wajue yeye ndo anamdunda mkewe...lol
Wacha muchezo!!
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaa! Mwanakijiji kweli???
 
Mzee Mwanakijiji we' ni jirani yangu nini!? Mwenzio mambo sio huku, ka' vp nilipotie Polisi maana mmh!! naumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…