Wanawake wanapenda ma handsome

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Hakuna mwanamke anapenda mwanaume ambaye sio handsome.Kama mnakumbuka mke wa Farao aliambiwa na wanawake wengine anawezaje kumwacha Yusufu hivi hivi bila kumlazimisha wafanye mapenzi.

Just imagine mdada anajikata mpaka na kisu akiwa anamwangalia yusufu kwa uzuri aaliokuwa nao yusufu. Akamlazimisha yusufu kamkimbia dakika ya mwisho kabisa akaamua kumgeuzia kibao kwamba yusufu alitaka kumbaka.

Kinachoshangaza mwanamke na yeye hachelewi kukupoteza hata Kama akikupenda sana hilo sote tulijue na ndo maana tumeagizwa tukae nao kwa akili.lakini pia mkae mkijua hawezi kukupenda Kama wewe sio handsome labda uwe na pesa.

Huu ndo ukweli mchungu wanaume wenye sura ngumu sana mnisamehe baba zangu. Nasikia wengine mnasema kuwa wadada wanavutiwa na wanaume wenye sura mbaya za kikauzu.

Huku Ni kujitia tu moyo, tumeona mfano wa mke wa Farao alikuwa hampendi mumewe anamuona kama mzee mzee.

Hizi simulizi za kwenye vitabu vya dini Ni za kweli kabisa zimetokea karne nyingi zamani lakini hata Sasa mambo Ni Yale Yale huwa yanajirudia tu.
 
Hakuna binadamu anapenda kitu kibaya.

Hata sisi wanaume tunapenda wanawake wazuri,hakuna mwanaume anapenda mwanamke mbaya mbaya,kila mwanaume anatamani apate mwanamke mzuri.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…