Prince toyboy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 375
- 363
Hii tabia yangu kabisa
Kila kitu kipo wazi maelezo yapo wazi
DJ aje atuweke wazi maana bimkubwa kalalama sana na mimi nisiipoteze Hii bahati lohBado haujachelewa fanya chap chap
Ona sasa ulivyoanza kurembua.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji18] [emoji18] [emoji18]
Neema yaja hiii, DJ achia njia aisee nisafirishe Makinikia ughaibuniDJ aje atuweke wazi maana bimkubwa kalalama sana na mimi nisiipoteze Hii bahati loh
Jicho kungu laini mtoto balaaOna sasa ulivyoanza kurembua.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Muite tu kwakweliNeema yaka hiii, DJ achia njia aisee nisafirishe Makinikia ughaibuni
Ndio maana DJ amepagawa eeehhh!!Jicho kungu laini mtoto balaa
Dj mpenda maji na churaNdio maana DJ amepagawa eeehhh!!
Asante sana mummy ndo nalea mimba hivyoWengine hapo anahamia kwa mchepuko hongereni wanaume wote mnaojali wake zenu kipindi hicho cha uzazi
Mimi tabasamu tu, sina muda na chura.Dj mpenda maji na chura
Tumuache na bi mkubwa joanah, sie tule zetu bata hukuMuite tu kwakweli
Baby ulale salamaHaina shida bebe
Baby upo wapiNawewe ungejaribu kumshawishi kapeace aje kwako
Baby umeandikaDJ aje atuweke wazi maana bimkubwa kalalama sana na mimi nisiipoteze Hii bahati loh
Hongera sana muonyeshe mahaba yoteAsante sana mummy ndo nalea mimba hivyo
Heee KumbeeeMimi tabasamu tu, sina muda na chura.
Joanah ananuna baby jamaniBaby umeandika
Wewe au
Unaamin kwa mwifwa utakuwa aloneJoanah ananuna baby jamani
Mwanaume wa mke mmoja ushamuonea wapiUnaamin kwa mwifwa utakuwa alone