Wanawake wanapenda ukombe mboga yote

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wanawake zangu wote ambao nimewahi kuishi nao lazima kuna siku nilikunywa kamnyweso kakanikwangua utumbo niliporudi home ile njaa ikanipelekea kulamba sufuria zima la mboga.basi ile stori mpaka kesho huwa wanaikumbusha kwa kucheka kumbe mimi zilikuwa tungi tu.wemyewe eti wanajua niliona mboga tamu waliyopika..ndo maana nawausia siku moja moja jitoe ufaham rudi home kama ni kamchuzi piga chote.
NB:usilaze watoto njaa ni kwa wale wanaoishi na wapenzi wao tu watoto wako mbali.
 
OOhh kumbe sio mtoto.
Bas punguza ujinga. Tumia vizur smart phone yako
Mkuu kweli kabisa ume join 2024 unamuita mjinga mtu senior wa hapa aliye join 2015..hizi stori tu bhana mkuu usiwe serious sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…