Wanawake wanapenda zaidi dating kuliko kuolewa

Wanawake wanapenda zaidi dating kuliko kuolewa

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
freeonlinedatingsites1.jpg

na kuzaa siku hizi hadi uende kwa nyumba kumi
 
Tatizo sisi nasi tukishaonja tuu basi unaanza kuangalia wengine, so wanawake dating ni kipindi cha AFYA sana kwao
 
Tatizo ni kwamba wengi wakishaingia kwenye ndoa mambo yanabadilika. Mara sijui majukumu yameongezeka. . . mambo ya kuambiana nakumiliki yanaanza full kustressishana. Though kuna raha yake maana wapo wanaofurahia kudate ni kuzuri wakati mtu bado hajawa tayari kumilikiwa/milikiana.
 
Back
Top Bottom