Tatizo ni kwamba wengi wakishaingia kwenye ndoa mambo yanabadilika. Mara sijui majukumu yameongezeka. . . mambo ya kuambiana nakumiliki yanaanza full kustressishana. Though kuna raha yake maana wapo wanaofurahia kudate ni kuzuri wakati mtu bado hajawa tayari kumilikiwa/milikiana.