Wanawake wanapishanaje na Waume?

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
KWA NINI WANAWAKE WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI? WENGI HUPISHANA NA WAUME ZAO
Kwamfano
- Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie. HAPO UMEPISHANA NA MUME
- Mwanamke anaingia ndani ya daladala, amekaa na mwanaume, kwa maringo, anachukua earphone na kuweka masikioni na kuwasha mziki ili asiongeleshwe. HAPO UMEPISHANA NA MUME.
- Mwanamke anasalimiwa njiani, anaitikia, akiongeleshwa tena anachuna. HAPO UMEPISHANA NA MUME.
- Mwanamke unatumiwa meseji inbox, hujibu. HAPO UMEPISHANA NA MUME.
- Mwanamke unapigiwa simu na mwanaume, unaona kabisa anakupigia ila hutaki kupokea tu. HAPO UMEPISHANA NA MUME.
- Mwanamke unakwenda gheto kwa mwanaume, una mkoba wako, ukifika muda wa kuondoka unaomba nauli. HAPO UMEPISHANA NA MUME.
- Mwanamke unakwenda kwa mwanaume, badala ya kusonga ugali, cha kwanza unataka chipsi kuku. HAPO UMEPISHANA NA MUME.
- Mwanamke unaanza uhusiano na mwanaume, siku ya pili tu unamwambia bebi sina hela ya vocha. HAPO UMEPISHANA NA MWANAUME.
- Mwanamke upo na mwanaume, anakwambia agiza chochote, bila kujishtukia unaagiza bia. HAPO UMEPISHANA NA MUME.
- Mwanamke unachati na mwanaume, chatting zako ni K, P, Pw. HAPO UMEPISHANA NA MUME.
- Mwanamke unaweka picha mapaja wazi, kifua umebust. HAPO UMEPISHANA NA MUME.
- Mwanamke unamwambia mwanaume akutumie video za ngono kwenye simu. HAPO UMEPISHANA NA MUME.

Usilalamike kwamba kwa nini mpaka sasa hivi hujaolewa. Niambie sasa ni mara ngapi umepishana na mume!
 
Nashukuru katika POST hii, sijamuona Rubii, Mahoundaw, wala Shangazi F. Foxxy, wote hawa hawajapishana na NDOA..

KEEPITUP...Kipiraap baby..!
 
Sauzi kuolewa ni kazi sana,hakuna kitu kinanikera kama ndani ya mda mchache tu ktk mahusiano demu anaomba pesa ya kusuka

Mm nimependa ulivyo sio nywele za wale wa magharibi

Nimepiga chini sana hadi sasa sjaoa nakula pesheni zangu tu [emoji39] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…