Tatizo mmekariri maisha kwamba mtu akitoa maoni yake ni feminist sipo Kwa ajili ya kutetea jinsia yoyote Ile ila wanaume mmejiweka kwamba I perfect sana in all aspect of lifemafeminist utawajua tu!
mwanaume aliumbwa perfect lakini mwanamke ni nusu yake so yeyote anaepingana na hili ni feminist!Tatizo mmekariri maisha kwamba mtu akitoa maoni yake ni feminist sipo Kwa ajili ya kutetea jinsia yoyote Ile ila wanaume mmejiweka kwamba I perfect sana in all aspect of life
Nonsense nazungumzia perfect ya kutokufanya makosamwanaume aliumbwa perfect lakini mwanamke ni nusu yake so yeyote anaepingana na hili ni feminist!
🤣🤣🤣 makosa kila mtu anafanya mkuu acha upotoshaji . Mungu pele yake hata yesu amewahi kukiri yeye sio mwemaNonsense nazungumzia perfect ya kutokufanya makosa
Kibongobongo Alikamwe hela anazo lengo si kulinganisha ni kuonesha kwamba pesa pia haifanyi mwanamke asikucheatYaani unamfananisha bill gate na Ali Kamwe.
This time wanawake ndio wanaongoza wa Sasa kuchiti anakuwa na mwanaume mwenye hela, mwanaume ambaye ana mkaza hela Hana na mwanaume mwenye kutumia opportunity anaweza kuwa ni boda wake au jirani yake au workmate wake kwa pamoja na kila mtu hapo anapewa mzigo kwa wakati wakeKuchit ni mazingira 🤣 kuna wapuuzi wanaandika mtandaoni eti wanawake hawana tamaa na hawawezi kufanya mapenzi na mwanaume asiyempenda , mimi huwa nawauliza kama wewe uliweza kufanya akakupenda undahani hakuna jamaa mwingine anayeweza kumfanya nae akampenda? 🤣 wanakazia eti sisi wanaume ndio tuna chit ukimuuliza tunao chit nao sio wanawake? Je tunawakuta bikra hana jibu