Wanawake wanaulizia sana muda ambao kombe la dunia litakuwa linachezwa

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
Huku mtaani kwangu kuna wanawake wako bize kuulizia muda ambao kombe la Dunia litakuwa linachezwa

Jamani, Wambieni wake zenu muda ambao kombe la dunia litakuwa linachezwa
 
Dah....kuna mechi zinaanza saa4 usiku had saa7 .....nyingine saa 7 usiku hadi 11 alfajiri....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wa kwangu keshalipa vifurushi vya miezi mitatu mbele jana, anasema amenipa bonus mpaka UEFA sept.
 
Mwaka huu siangalii kombe la dunia ntakuwa na kazi ya kuwagegeda tu wake za watu ambao wana genye afu waume zao wapo kwenye soka. Msako utakuwa nyumba kwa nyumba
 
Nimeamua na mie mwaka huu niende na Mr kuangalia kombe la ulimwengu!
 
Mwaka huu siangalii kombe la dunia ntakuwa na kazi ya kuwagegeda tu wake za watu ambao wana genye afu waume zao wapo kwenye soka. Msako utakuwa nyumba kwa nyumba

Kumbuka kutembea na KY-jelly ili siku tukikubabatiza na wake zetu tusikuchubue.
 
Watu wanagongewaga sana na visivyopenda mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…