"Wanawake/wanaume weusi wanajidharau sana"... je nikweli?

uku kwetu wanaume sijaona anayejichubua, labda wadada, wengi wa hivyo ni wanamusic na sijui nini kinawafanya kuamini weupe ndio dili

Wamepungukiwa na imani kiasi kwamba hata wao wenyewe hawajiamini ndio maana wanajikoboa!!

uku kwetu wanaume sijaona anayejichubua, labda wadada, wengi wa hivyo ni wanamusic na sijui nini kinawafanya kuamini weupe ndio dili

Kwenu wap?

Mimi nijuavyo (Haijathibitishwa) wanaume wenye light skin (weupe) huwa kidogo hawana confidence kama waliyonayo weusi!.

thank you
kwa jamii zetu weupe ni sifa ya urembo,so ni sifa ya kike..
so mwanaume ukiitwa cheupe,ni tusi...
kuna jamaa mmoja ni mweupe na anafanana mno na will smith..
but akajipachika jina la kabaya....

Huko ni kutojiamini kwa baadhi ya watu na kujidharau..

mbona mimi mweuzi ile titiiiiiiiiii lakini naona niko kawaida tu maana ni matakwa ya Muumba?

Kweli kabisa mkuu..

mbona huyu anatesa sana lakini siyo mchubuo????????????????????labda nywele za bandia ndizo waweza kumto maksi kidogo lakini amejaziliza kivyake hivi......

kujibadilisha ngozi ni upumbavu.

Mtoto gani wa enzi hizi anajua Kwamba
Michael Jackson ni Black?

Most wanajua ni mzungu.
Hawa ndo mfano mzur wa kujidharau.
Wanatia sana Doa weusi wetu.

Mr. LittleX ..hoja yako inategemea na sehemu.. kwani kule kwetu South Sudan hatuna jinsi...

Lakini pia inategemea pia na akili ya mtu ..yaani inategemea kama kichwani kumejaa ubongo au makamasi..yaani kama upstairs "yaani kichwani" kukiwa original basi rangi sio issue ...lakini kama kichwani kumechakachuliwa na kuwekwa ubongo feki wa ki-china ..basi sehemu kubwa itakuwa imejaa makamasi na hivyo kupunguza uwezo wa kufikiri..na hivyo kama ukifanya test ya swali lako hapo juu jibu litakuwa positive..kwani binti kuwa mweusi anaweza kujinyonga..afadhali hata miguu ibaki pepsi na reception iwe Mirinda..

Unahoja nzuri!

South sudan kuna nini?(mean tujuze kidogo)

Hizi ni kauli sweeping na hazina facts zozote

Its just another discriminative "colour-thang" which in most cases is brought to disguise or bellitle a person after failure of understanding or expectations

endeleeni

Hata wazungu wenye ngozi nyeupe wanakaa juani au wanatumia tan kubadilisha rangi wasiwe weupe na ikifika masherehe ndio utawaona wengi wamebadilika rangi

Upo hapo ndio maisha hayo wewe kama haufanyi basi endelea na maisha yako achana na nani anafanya nini

Nduguzo waambie juu ya magonjwa ya ngozi though

Amaizng!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…