Wanawake wanavyoivaa Mikenge kwenye ndoa………!

Sisy,nilegeze wapi!!!!

Mie nishaolewa na Rejao mdingi huku anasubiri mahari,
Wakati mahari yangu nishachukua mwenyewe na kuimalizia kwa sonara lol!

khaaa! Hebu kamnunulie mzee japo shati la maua maua roho yake itulie.
 
Sasa nani atanilipa fidia ya kukuleta hapa Duniani?
tangu uvunje ungo, hata advance sijapata.......................................LOL

hahahaha! Nitalipa fidia mwenyewe baba. Utakula maisha hadi uchoke. Lol
 

Namba tano hapo juu, mtu anayependa kwa ajili ya gari, kwani gari litakuwa limeuzwa, siatakuwa bado analiona kwa hiyo kama gari ndo inamfanya asisimke si ndo atakuwa analipanda vizuri, vizuri kwenda sokoni, saloon, analichungulia dirishani kwa hiyo mapenzi ndo yatakuwa moto moto, mpaka hapo jamaa atakapo uza gari hilo gari ndo hisia zitaondoka na gari.
 
Weweee, mimi sijawahi kudhulumiwa....................Nitamwendea LAMU kwa MASHARIFU, kama hajaja kwangu kwa magoti, wacha mchezo wewe..............!
Hahaha hahahha hahahahha,
Watu wazima hawatishiwi nyau!
Kama je nimejiozesha bure kwa mapenz yangu kwake itakuwaje!!!
Mbona sijakudhukulum?
Mie ndio muolewaji iweje mahari ule wewe,

Hao masharifu shida yao hela na sie tutawapa hela usahau yote lol!
 
hahahaha! Nitalipa fidia mwenyewe baba. Utakula maisha hadi uchoke. Lol
Haya kaniletee UGORO hapo kwa mzee SABATELE..................Ndio nitakuamini..............LOL
 
khaaa! Hebu kamnunulie mzee japo shati la maua maua roho yake itulie.

Huyu mzee wala hapati kitu,
Kwanza namdai hajanilipa,
Huyu anapenda hela ndugu yangu ww acha tu ahat umpe gunia hatosheki,

Mahari yangu nimekula mwenyewe nalipizia deni ninalomdai!
 
mhh kuna kaukweli...mbona unatuchana watu hivo jaman...tufanyeje sasa!😱
 
Bwana Mtambuzi hivi unafahamu kama Bakhresa pale kwenye lile ghorofa lake la Masaki anakaa na watoto wake wote ambao ni watu wazima ilhali Bakhresa anamiliki zaidi ya magorofa 20 hapa mjini?
 
Vipi hayo mawazo yako tukigeuza kibao na kuwaweka wanaume? Mie naona ndoa si jambo moja mawili wala nane. Nashukuru Mungu mie na wangu hata tukiulizwa mara mia tutamchagua nani kama tungepata nafasi nyingine bado tutachaguana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…