Wanawake wanavyojiweka siku hizi, ndiyo husababisha wanaume wengi wajihisi hawana nguvu za kiume.

Mwanamke ana rangi kama UPINDE WA MVUA,njano,kijani,blue,nyeusi na mbaya zaidi rangi zipo ktk viungo tofauti....mapaja tofauti na uso..tofauti na mgongo...ukimuangalia sn hana tofauti na KINYONGA.hizo nguvu zitatoka wapi?
 
Uko sahihi sana,jambo hili limewadhuru sana wazungu,mpaka wamefikia kutengeneza madawa ya kuongeza nguvu za kiume ni kwasababu kwao hili ni tatizo kubwa.Na hii shida inazidi kuongezeka sasa huku kwetu,unakuta kijana mdogo miaha 25 hamna kitu,hii ni hatari..
 
Mwanamke ana rangi kama UPINDE WA MVUA,njano,kijani,blue,nyeusi na mbaya zaidi rangi zipo ktk viungo tofauti....mapaja tofauti na uso..tofauti na mgongo...ukimuangalia sn hana tofauti na KINYONGA.hizo nguvu zitatoka wapi?
Ongezea na wigi la zambarau [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukimuona mwanamke usoni mweupe halafu miguuni mweusi..my braza piga nae picha huyo ni pundamilia toleo la mwisho.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
uwiiiii pointless ulaya wanavaa uchi kabisaaa mikoani je, wanaume wa Dar tafuteni course ya ilo janga
 
Usilalamike mkuu. Ikishindikana kumridhisha, cha msingi wewe umeridhika.
You havent failed her; your body failed you. Kwa sababu sidhani kama kuna mtu hataki kuwa Guru maeneo hayo.
The only problem ni life style yetu. Ni mbovu na kwa bahati mbaya ni addictive. I think us 'modern' men, need to get more serious about how we live.
 
Naunga mkono hoja...kabisa hii ni sahihi niliwahi kusoma makala moja inayohusu sababu ambazo KE wanafanya kwa ME kupungukiwa nguvu mojawapo ilikuwa ni hii uliyosema...nyingine zilikuwa ni USAFI BINAFSI..KAULI MBOVU... MAANDALIZI n.k
 
Wanaume waliooa wengi wanachepuka maana wake zao wachafu.

Yaani wakati unampiga sound dem, anakua msafiii hadi enzi za uchumba.

Akiolewa, anakuja kitandani kulala na mumewe mikono ina masinzi na ananuka moshi.

Kwa style hii, jogoo hawezi kuwika
 
How should we live?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…