Wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume

<br />
<br />hata mkeo siku anapotoka,anaridhìshwa sana na hao wanaume wa nje,hapo ndo pa kujiuliza maswali.
 
Unajua hii issue ya kupungua nguvu za kiume kwa sababu za kisaikologia (sio kimaumbile au ugonjwa mfano kisukari) ni tatizo kubwa sana sasa...na naweza sema kuwa ukubwa wake unasababishwa sana hali ya kimahusiano kati ya wapenzi au washiriki tendo.

Fiziolojia (physiology) ya uume kusimama na kuwa mgumu/wenye nguvu inatawaliwa sana na vichocheo ambavyo mwili wa mwanaume unatoa unapokuwa stimulated. Kiumbile (anatomically)..tishu ya uume ni kama sponji (corpus cavernosa), na hivyo usipokuwa stimulated unalegea. Lakini unapokuwa stimulated, vichocheo mabli mbali vinamwagwa kwenye mwili wa binadamu na damu inajaa kwa wingi kwenye hii spongy tissue na kuufanya uume kuwa mgumu na umesimama. Huku kuwa stimulated na kumwagwa kwa vichocheo hivyo kunategemeana sana na utayari wa mwanaume kisaikolojia....hapa ndio tatizo lilipo, na hapo ndio ndipo mwanamke anaweza aidha kumfanya mwenza/mpenzim wake kuwa na nguvu za kiume au apungukiwe na nguvu za kiume (provided hakuna matatizo ya kimaumbile au ugonjwa).

Mawanamke asiye tayari kiasaikolojia anaweza kuingiliwa, hata mara kadhaa tu...lakini mwanaume asiye tayari kisaikolojia hawezi kumuingilia mwanamke kwani mfumo mzima wa kifiziolojia utakaopelekea uume kusimama na kuwa na nguvu unategemea sana utayari wa kisaikolojia. Uelewa na utundu wa mwanamke ni tiba nzuri sana ya upungufu wa nguvu za kiume..lakini attitude ya wanawake wengi towards upungufu wa nguvu za kiume kwa wenza/wapenzi wao ni mbaya na hivyo kufanya tatizo liwe kubwa zaidi na zaidi, na hii inamnyima mwanaume confidence hata anapoenda kwa mwanamke mwingine tatizo linakuwa lile lile!
 
Wanawake wengi wa kizazi hichi wamekuwa kama magogo katika 6x6 wanasubiri dume lilime, lipallie na kuvuna mazao..
 
nyumba ndogo sio solution bali ni wewe na mke wako kuaelimishana tu mengine yako kisaikolojia tu wala sio uchawi wala nini nakazi tupunguze au tule vyakula vinavyotia mwili ndugu na mazoezi kwa sehemu fulani mambo yatakuwa ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…