Get your point . . . Kwamba wanaokimbilia kisu hawajakwepa maumivu ya uchungu
mi sijui bwana
mwakani nitawaambia
mwache Mungu aitwe Mungu, inarudi kabisaaaaahivi mtu akijifungua kitu huwa inarudi jamani?
hata kama hiyo wanayosema mtu ameongezewa njia? jamani mwacheni Mungu aitwe Mungu.....dah?mwache Mungu aitwe Mungu, inarudi kabisaaaaa
Msiwe one sided kuna visu vinakuja kwa sababu ya matatizo ya kawaida ya uzazi! kama mtoto kuchoka tumboni! pressure! mtoto kukaa vibaya tumboni na sababu nyingine nyingi! iyo mtu kupenda ni another case!
kisu??????????...😛eep:
raha ya mwanamke kukamua bwana...unamfili mtoto....n afta 2wks unakuwa mzimaaaaaaaaaaaaaaaaa but kisu dahh milele amina umivu unaliskia....mvua ikinyesha unalo....ata mikunjo mingne aiwezekan tena ohhh mshono jaman...ahh lakin ukikamua leba na ile afta mwezi ahh mbona mwake mwake kila kitu kinakuwa mmmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:A S 13:
Kuzaa kwa kisu inakutia kilema cha maisha hautokuwa wewe daima, pia km anaekufanyia huo upasuaji sio mtu safi kiroho anaweza kukujaza spirits ambazo kwazo maisha yako na uzao wako wote ukawa hopeless...! Natural is better na huo ndio mpango wa Mungu ktk uzazi, hao wanaotafuta visu kwa sababu isiyo ya kitabibu wanayao kwa kweli! Pia kisu kinapunguza life expectance ya mwanamke mara 2 au zaid ya anaejifungua kawaida, pia kuna limitation ya kuzaa watoto mwisho 4. Kwa wale wanaohofia shamba la bibi wajhulize je ni bora liharibike kidogo bt after 30 days mech zinachezwa km kawaida au lisiharibike ila liwe idle kwa 6 mths? Jifikirie kwa miezi hyo 6 huyo uliemtunzia lisiharibike atakuwa idle anakusubiria? Je utaweza mikikimikiki km zamani? MUNGU EPUSHA UZAZI WA VISU KTK FAMILIA, UZAO, NA UKOO WANGU WOTE CUZ SIO MPANGO WAKO!