Kutokana na tabia ya wanawake wengi kupinga vizinga bila kikomo, taasisi moja ya kijinsia imepiga marufuku uwepo wa wanawake kwenye usemi usemao
''To every successful man there is woman behind''
Badala yake usemi huo utatamkika,
''To every successful man there are many unsuccessful days behind''
Taasisi hiyo imeomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.