beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
TAMWA imebaini kwamba asilimia kubwa ya wanawake wanakuwa katika hatari ya kufanyiwa ukatili wanapokosa elimu, chanzo cha mapato ya kukidhi mahitaji yao.
Katika sikukuu ya shirika la ILO 28 April 2018, Mkuu wa UN Women Phumzile Mlambo-Ngeuka alinukuliwa akisema kwamba;
"Ukatili dhidi ya wanawake una uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wao wa kushiriki katika uzalishaji wa kiuchumi unaoathiriwa kwa kipato kidogo, fursa ndogo za elimu na ajira na ushiriki katika siasa. Kwa kukomesha ukatili huo, wanawake wanaweza kuzalisha na kukuza uchumi wa jamii nzima,” Mkuu wa UN Women Phumzile Mlambo-Ngcuka.
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania(TAMWA) tunaamini kuwa tukikomesha ukatili huu tunaweza kukuza uchumi wa jamii nzima.