Wanawake Warefu (Tall Women)

Kweli wengine wanaurefu usio na faida....
am better here
 
Hongera kwa kujikubali tall. Urefu na ufupi vyote vina changamoto zake japo ni Baraka za uumbaji. Ukiwa mrefu haswa wakati wa utoto kila mtu darasani anakuona wewe ndio mzee wa darasa, ni changamoto Sana. Binafsi mke wangu ana 175cm na anajikubali maana mimi nina 193cm.
 
Hivi mrefu yukoje na mfupi yukoje? Maana unaweza kujiona mrefu kisa upo na wafupi na ukiwa na warefu wenzio ukaonekana mfupi. Swali langu mtu mwenye sifa za urefu ana urefu wa cm ngapi na huyo mfupi ana urefu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizitaki mbichi hizi assistant woman. Umenikumbusha kichambo tulichopata kisa kupenda tall guys eti tunafeel secure mweeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dota nawe utakuwa mlemavu nini!![emoji85][emoji85]

Wafupi walitushukia sisahau.
Ila mwanaume unakuwa mfupi ili ututafutie sababu au[emoji134][emoji134]
Wasitufanyie hivyo jamani, wajitahidi tu warefuke.
 
Ulemavu raha atiiii muulize T ake Nalendwa

Haha eti hamtaki boys wafupi wakati mlikuwa mnaongozana na baba zenu wafupi na bado mnafeel secure teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…